Перейти к содержимому

Sheikh wa Uamsho aeleza jinsi walivyoingia katika harakati za mabadiliko ya katiba

BBC News Swahili

0:00 / 0:00

Sheikh wa Uamsho aeleza jinsi walivyoingia katika harakati za mabadiliko ya katiba

27 858 просмотров · 5 лет назад
BBC News Swahili
997 тыс. подписчиков
27 858 просмотров · 5 лет назад
Sheikh Msellem Ali ni moja ya vinara wa kundi la Uamsho ambao hivi karibuni waliachiwa nchini Tanzania baada ya kukaa mahabusu kwa zaidi ya miaka saba. Katika mahojiano haya na mwandishi wa BBC Humphrey Mgonja, Sheikh Msellem anaeleza namna harakati zao katika mchakato wa mabadiliko ya katiba yalivyosababisha wakamatwe na kuzuiliwa mahabusu. Pia anazungumzia maisha yao ya kila siku ya gerezani yalivyokuwa. #bbcswahili #Tanzania #dini