Перейти к содержимому

ALITEKWA NA WANAJESHI WA UJERUMANI, KISHA AKAWA MPELELEZI WA WAINGEREZA! 😱 | NARVIK (2022)

SIMULIZI TZ

0:00 / 0:00

ALITEKWA NA WANAJESHI WA UJERUMANI, KISHA AKAWA MPELELEZI WA WAINGEREZA! 😱 | NARVIK (2022)

661 просмотр · 3 нед. назад
SIMULIZI TZ
69 подписчиков
661 просмотр · 3 нед. назад
ALITEKWA NA WANAJESHI WA UJERUMANI, KISHA AKAWA MPELELEZI WA WAINGEREZA! 😱 | NARVIK (2022) Ellie alifikiri hatimaye ameweza kutoroka kutoka katika mji uliokuwa chini ya utawala wa Wajerumani akiwa pamoja na mwanawe. Lakini njiani anakutana na askari wawili wa Kijerumani na kulazimika kurudi tena mjini. Huko, anakutana na mumewe ambaye zamani alikuwa mwanachama wa jeshi la upinzani, lakini sasa amekuwa mfungwa na mtumishi wa jeshi la Ujerumani. Ellie anaanza kutafuta kila njia ya kumuokoa mumewe, bila kujua kwamba safari yake itampeleka kwenye hatari kubwa zaidi. Anapolazimishwa na wawakilishi wa Uingereza kuiba taarifa za siri za Wajerumani, Ellie anajikuta katikati ya vita, ujasusi, usaliti na mashambulizi makubwa ya kijeshi. Hatimaye, anafanikiwa kupata ramani muhimu ya ulinzi wa kijeshi wa Wajerumani. Lakini baada ya taarifa hizo kuwafikia Waingereza, mashambulizi yanaanza—na bomu moja linapiga nyumba yake mwenyewe. Je, mwanawe na baba yake wameokoka? 😱 Tazama video hadi mwisho kujua kilichompata Ellie na familia yake. Usisahau KUSUBSCRIBE, LIKE na SHARE kwa hadithi zaidi za filamu, drama na simulizi zinazosisimua. #HadithiZaFilamu #MovieRecap #Filamu #Simulizi #Vita #Ellie #MovieStory #FilmRecap #Hadithi #Kiswahili