#EXCLUSIVE: BANANA ZORO ATOBOA SIRI NYIMBO ZAKE KUISHI MUDA MREFU | SINA MAJUTO
Daily News Digital
0:00 / 0:00
#EXCLUSIVE: BANANA ZORO ATOBOA SIRI NYIMBO ZAKE KUISHI MUDA MREFU | SINA MAJUTO
229 просмотров · 1 день назад
Daily News Digital
283 тыс. подписчиков
229 просмотров · 1 день назад
DAR ES SALAAM: MWANAMUZIKI nguli wa Bongo Fleva na R&B, Banana Zorro, amesema siri ya mafanikio na uimara wa bendi yake kwa zaidi ya miaka mingi ni nidhamu ya kazi, kuheshimu mikataba na kujenga uaminifu kwa mashabiki pamoja na waandaaji wa matamasha.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na Daily News Digital, Banana Zorro alisema amefanikiwa kuiongoza bendi yake kwa kuwa na uhusiano mzuri na wanamuziki wake, huku akiwasaidia kufikia ndoto zao licha ya wengi wao kubadilika kwa nyakati tofauti.
“Zaidi ya wanamuziki 120 wamepita kwenye bendi yangu. Wengine huondoka kwa sababu ya fursa nyingine, lakini naendelea kuwahamasisha na kuwasaidia kutimiza ndoto zao,” alisema.
Alieleza kuwa bendi nyingi hufifia kutokana na kukosa nidhamu, akisisitiza kuwa kuheshimu mikataba na kutekeleza ahadi kwa wakati kumewawezesha kupata nafasi nyingi za kazi hadi miezi kadhaa ijayo.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09