Перейти к содержимому

Ni huruma zake hatuangamii #giftofallnation#sundaytemboni

KWAYA YA VIJANA TEMBONI

0:00 / 0:00

Ni huruma zake hatuangamii #giftofallnation#sundaytemboni

339 просмотров · 2 недели назад
KWAYA YA VIJANA TEMBONI
22 подписчика
339 просмотров · 2 недели назад
Ni huruma zake hatuangamii -kwaya ya vijana temboni karibuni utazame na kubarikiwa na wimbo huu wa sifa kutoka kwaya ya vijana temboni.Mungu ametupa kibali cha kuendelea kumwabudu na kumsifu kupitia uimbaji Neno la Leo Ni huruma zake bwana kwamba hatuangamii kwakuwa rehema zake hazikomi . Maombolezo 3:22 usisahau kusubscribe kama umebarikiwa na wimbo huu,tafadhali bonyeza subscribe,weka like na ushare na wengine ili ujumbe huu wa neno la MUNGU liwafikie wengine zaidi. tufollow pia kwenye mitandao ya kuamini . Instagram: @ kwayayavijanatemboni . Facebook: kwaya ya vijana temboni .Whatsapp: 0760002215 #kwayayavijanatemboni #Nihurumazakehatuangamii#gospelMusic#kwayayakkkt#giftofallnation#sundaytemboni#ibdayayajumapili