Перейти к содержимому

#3: Siku za Kupata Mimba Baada Ya Hedhi (Siku za hatari ni Zipi?)

AfyaTech

0:00 / 0:00

#3: Siku za Kupata Mimba Baada Ya Hedhi (Siku za hatari ni Zipi?)

11 202 просмотра · 10 месяцев назад
AfyaTech
454 подписчика
11 202 просмотра · 10 месяцев назад
Siku za kupata mimba baada ya hedhi ni zipi? Siku za kupata mimba baada ya hedhi ni sita, siku nne kabla yai kupevuka (ovulation), siku ya yai kupevuka na siku moja baada ya yai kupevuka. Kipindi hiki cha siku 6 hujulikana kama siku za hatari au kimombo, fertile window. 🔎 Mambo 3 utakayoyapata baada ya kusoma makala yetu: ✔ Urefu wa mzunguko wa hedhi huathiri siku za kupata mimba - hivyo ni lazima uujuwe ✔ Kwanini unakosea kuhesabu siku za kupata mimba na kuepuka makosa! ✔ Kufahamu mbinu 1 ya kutumia ufahamu siku za kupata mimba kwa uhakika Soma makala hii hapa: https://afyaplans.afyatechtz.com/siku... 𝐏𝐚kuwa app hii hapa: https://play.google.com/store/apps/de... Fahamu namna ya kutumia: https://afyaplans.afyatechtz.com/uzaz... 𝐀𝐅𝐘𝐀𝐓𝐞𝐜𝐡: 𝑻𝒂𝒎𝒃𝒖𝒂. 𝑻𝒆𝒏𝒅𝒂. 𝑻𝒂𝒕𝒉𝒎𝒊𝒏𝒊