Перейти к содержимому

USIRI WA NDOTO ZAKO: Mungu Anajaribu Kukuambia Nini Usiku? (Utafsiri Wa Ndoto Na Maana Yake)

Pastor Henry Kiiru | Bethsida Jesus Ministry

0:00 / 0:00

USIRI WA NDOTO ZAKO: Mungu Anajaribu Kukuambia Nini Usiku? (Utafsiri Wa Ndoto Na Maana Yake)

133 просмотра · 1 месяц назад
Pastor Henry Kiiru | Bethsida Jesus Ministry
965 подписчиков
133 просмотра · 1 месяц назад
utafsiri wa ndoto, maana ya ndoto, ndoto za mapenzi, maagano ya siri, Je, umewahi kuamka asubuhi ukiwa umechanganyikiwa na ndoto uliyoiota usiku? Watu wengi huona maono katika ndoto lakini wanashindwa kuelewa utafsiri wa ndoto na maana yake halisi katika maisha ya kila siku. Katika ulimwengu wa roho, Mungu huzungumza nasi kupitia ndoto, maono, alama, na mifano kama inavyoelezwa katika kitabu cha Ayubu 33:14. Ndoto zako zinaweza kuwa ni maonyo, faraja, au mwelekeo wa maisha yako. Katika video hii, tunafichua siri nzito kuhusu utafsiri wa ndoto za mapenzi na maagano ya siri, maana ya kuota uko katika soul ties, na ishara ya kiroho ya kuota unakunywa maji safi kwenye glass kama ujazo wa Roho Mtakatifu au kupanda mlima kama hatua ya kumkaribia Mungu. Usipuuze jumbe hizi za usiku—tazama video hii mpaka mwisho ili ujifunze jinsi ya kutambua mavazi, rangi, na hisia kwenye ndoto ili kuvunja maagano au kupokea mwelekeo wa Mungu. Jifunze zaidi na upate utafsiri wa ndoto zako kwa kuwasiliana nasi kupitia nambari iliyoko kwenye screen. Tafadhali Subscribe, Like, na Share video hii ili kuwasaidia wengine kuelewa ulimwengu wa ndoto. #UtafsiriWaNdoto #MaanaYaNdoto #NdotoZako #UlimwenguWaRoho #SoulTies #BibliaNaNdoto