Перейти к содержимому

Roho Mtakatifu Rafiki Yangu | Music by Karey Kinuthia

Music by Karey Kinuthia

0:00 / 0:00

Roho Mtakatifu Rafiki Yangu | Music by Karey Kinuthia

103 просмотра · 10 дн. назад
Music by Karey Kinuthia
85 подписчиков
103 просмотра · 10 дн. назад
ROHO MTAKATIFU RAFIKI YANGU – Music by Karey Kinuthia Roho Mtakatifu ni Msaidizi wetu, Mfariji wetu na Rafiki yetu wa karibu. Yeye hutuongoza, hututia nguvu na kutufundisha kweli ya Neno la Mungu. Wimbo huu umetokana na Yohana 14:26, ukitukumbusha umuhimu wa ushirika wetu na Roho Mtakatifu kila siku. Asante kwa kusikiliza. Tafadhali like, share na subscribe kwa nyimbo zaidi za injili. Kwa upendo, Karey Kinuthia #RohoMtakatifu #RafikiYangu #MusicByKareyKinuthia #SwahiliGospel #GospelMusic