Перейти к содержимому

NILIVYOTESWA NA JINI SUBIANI! KISA CHA KUSISIMU | PART 01

QIBLATEIN ONLINE

0:00 / 0:00

NILIVYOTESWA NA JINI SUBIANI! KISA CHA KUSISIMU | PART 01

2 527 просмотров · 21 час назад
QIBLATEIN ONLINE
106 тыс. подписчиков
2 527 просмотров · 21 час назад
Katika sehemu hii ya kwanza, Sheikh anasimulia kisa cha kusisimua na cha kutisha kuhusu namna zakalia alivyokutana na binti wa kijini bila kujua ukweli kuhusu yeye. Uhusiano wao ulianza bila Zakalia kufahamu kinachoendelea, lakini baadaye mambo yakabadilika na kuingia katika mateso, hofu na changamoto kubwa. 👉 Je, aligundua vipi kuwa anahusishwa na ulimwengu wa majini? 👉 Nini kilitokea baada ya kupendana? 👉 Na ni kwa namna gani JINI SUBIANI alihusika katika mateso hayo? Tazama PART 1 hadi mwisho kusikia simulizi hii kutoka kwa Zakalia na Jini Subiani. 📌 Usisahau: LIKE 👍 | COMMENT 💬 | SHARE 🔄 | SUBSCRIBE 🔔 #Jini #Majini #Zakalia #Simulizi #KisaChaKusisimua #QiblateinOnlineTV #Part1 #IslamicContent QIBLATEIN ONLINE Ni channel ya dini ambayo inajihusisha na kukusanya taarifa za kidini kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani ya Tanzania kila siku kupitia FACEBOOK, INSTAGRAM YOUTUBE @QiblateinOnlineTv) 🙏🤝Tafadhali🙏Subscribe #qiblateinonlinetv #ili uwe sehemu ya familia hii muhimu. INSTAGRAM 👉👉   / qiblatein_online_   FACEBOOK👉👉 https://www.facebook.com/profile.php?... TIKTOK 👉👉 https://www.tiktok.com/creator-center