ZINGATIENI HAKI - CHARLES SAASITA (4K VIDEO)
Kwaya ya Familia Takatifu - Mwenge, Dar es Salaam
0:00 / 0:00
ZINGATIENI HAKI - CHARLES SAASITA (4K VIDEO)
41 700 просмотров · 3 года назад
Kwaya ya Familia Takatifu - Mwenge, Dar es Salaam
2,1 тыс. подписчиков
41 700 просмотров · 3 года назад
ISAYA 56: 1-7
Mwenyezi Mungu Asema, Zingatieni haki na kutenda mema, maana nitawaokoeni hivi karibuni, watu wataona wazi kwamba ninawaokoa.
Heri mtu anayezingatia kikamilifu ninayoyasema, nakuepa kutenda uovu wowote.
Anitambuaye Mimi Mwenyezi Mungu, sitamtenga na watu wake, wala asijione kuwa ni mti mkavu.
Nitawaleta hata mlima wangu Mtakatifu, nakuwafurahisha katika nyumba yangu ya sala.