Перейти к содержимому

#LIVE:NAMNA YA KUKUZA VIWANGO VYA KUMJUA MUNGU | SEHEMU YA TISA || 26 MARCH 2025

NGOME YA MAKIMBILIO ONLINE TV

0:00 / 0:00

#LIVE:NAMNA YA KUKUZA VIWANGO VYA KUMJUA MUNGU | SEHEMU YA TISA || 26 MARCH 2025

47 просмотров · Трансляция закончилась 1 год назад
NGOME YA MAKIMBILIO ONLINE TV
716 подписчиков
47 просмотров · Трансляция закончилась 1 год назад
NGOME YA MAKIMBILIO INTERNATIONAL PENTECOSTAL MINISTRY.(NMIPM) ni kanisa lilianzishwa na Mungu mwenyewe kupitia Mtumishi wake Emmanuel Edward Sinduhije,Maono ya huduma hii ni kumtangaza Yesu katika uhalisia katika nyakati hizi za mwisho,Dunia ipo mwishoni tunamhitaji sana Yesu.Karibu kanisani Utajifunza neno halisi na utamwabudu Yesu katika roho na kweli,Utafunguliwa vifungo sugu na kuwekwa huru na Yesu. UPENDO ndio msingi mkuu wa huduma hii,Hatuamini katika visaidizi kama.maji,mafuta,chumvi n.k Makao makuu ya huduma hii yapo Dar es salaam Tanzania. KARIBU UABUDU PAMOJA NA SISI. MAOMBI NA USHAURI. +255 (0)789950580 +255 (0) 742095599