Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 26.10.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 26.10.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast

9 886 просмотров · Трансляция закончилась 7 ч назад
DW Kiswahili
337 тыс. подписчиков
9 886 просмотров · Трансляция закончилась 7 ч назад
Miongoni mwa utakayosikia katika matangazo haya #Serikali ya Tanzania kupitia kwa msemaji wake Gerson Msigwa imetoa onyo Kali ikisema hakuna mtu aliye juu ya sheria na kwamba yeyote atakayethubutu kuhamasiha na kufanya vurugu atachukuliwa hatua kali. #Kuelekea mwaka Mmoja Baada ya Machafuko ya Oktoba 29 nchini Tanzania, utamsikia mkazi mmoja wa Arusha, ambaye alimshuhudia mwanawe mwenye umri wa miaka 19 akipigwa risasi akiwa eneo lao la kazi. #Rais wa Brazil Luiz Inácio Lula da Silva, ambaye amekuwa mkosoaji mkubwa wa Rais wa Marekani Donald Trump, amechaguliwa tena Jumapili #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.