TAHARUKI MANYARA! WATU 12 WALAZWA HOSPITALI BAADA YA KULA CHAKULA KINACHODAIWA KUWA NA SUMU...
Global TV Online
0:00 / 0:00
TAHARUKI MANYARA! WATU 12 WALAZWA HOSPITALI BAADA YA KULA CHAKULA KINACHODAIWA KUWA NA SUMU...
1 708 просмотров · 8 ч назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
1 708 просмотров · 8 ч назад
TAHARUKI MANYARA! WATU 12 WALAZWA HOSPITALI BAADA YA KULA CHAKULA KINACHODAIWA KUWA NA SUMU...
Watu 12 wamenusurika kifo kufuatia kula chakula kinachodaiwa kuwa na sumu katika Kijiji cha Ari, Kata ya Hayderer, Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, na kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya Haydom kwa ajili ya matibabu ya dharura. Tukio hilo limetokea baada ya waathirika hao kuhudhuria sherehe ya harambee kanisani na baadaye kuanza kupata dalili kali za kutapika na kuharisha. Global TV imetembelea kijiji hicho, kuzungumza na mashuhuda na ndugu wa waathirika, pamoja na uongozi wa Hospitali ya Haydom ili kujua undani wa mkasa huu na hali za wagonjwa.
#Manyara #Mbulu #Haydom #GlobalTVOnline #HabariZaHiviPunde #Habari
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com