ufahamu mmea wenye uwezo mkubwa wa kumaliza tatizo la wadudu kwenye Mimea na mifugo
KILIMO HALISI
0:00 / 0:00
ufahamu mmea wenye uwezo mkubwa wa kumaliza tatizo la wadudu kwenye Mimea na mifugo
2 162 просмотра · 3 года назад
KILIMO HALISI
3,53 тыс. подписчиков
2 162 просмотра · 3 года назад
mmea huu Tephrosia vogelii au utupa umewasaidia wakulima na wafugaji wengi kupambana na wadudu .
hasa kwenye nyanya kanitangaze / tuta absoluta kipepeo aliyewaingiza hasara wakulima wengi mmea huu umefanikiwa kumdhibiti.
maeneo mengi nchini vijijini mpaka hivi sasa wakitaka kuosha mifugo Yao mmea huu huwa saidia Sana
apa kwetu kilimohalisi tutautoa kwa ofa ya 1000
simu zetu 0652553944
##bustani
##nyanya
##tibalishe
##mordenagriculture
##kilimohalisi