Перейти к содержимому

KUISHI KWA ROHO: SEHEMU YA 2. Pr. Ayubu Qamunga.

𝗥𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗠𝗜𝗦𝗦𝗜𝗢𝗡 𝗧𝗩

0:00 / 0:00

KUISHI KWA ROHO: SEHEMU YA 2. Pr. Ayubu Qamunga.

256 просмотров · 3 г. назад
𝗥𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗠𝗜𝗦𝗦𝗜𝗢𝗡 𝗧𝗩
6,99 тыс. подписчиков
256 просмотров · 3 г. назад
Mchungaji Ayubu E. Qamunga amewekewa mikono ya kichungaji na Bwana amemwita na kumtenga rasmi kwa kazi yake. Ni mwajiriwa wa Kanisa la Waandventista Wasabato Jimbo la Kaskazini Mashariki mwa Tanzania (NETC). Alihitimu shahada yake ya Teolojia Nchini Uganda. Ni mwandishi wa vitabu vikiwepo “Hawaniamnini Mimi”kinachosambazwa na Kanisa Nchi nzima sasa), “Ombeni Lolote”, “Injili katika Ushuhuda wa Yesu” na vingine vingi. Mchungaji na Mke wake Namsifu Bariki Daniel wana watoto wawili (Esther na Sign). #MAHUBIRITV #HOPECHANELTANZANIA