MADEREVA WAKAMATWA ,UKAGUZI MKALI WA MAGARI WAFANYIKA SEGERA huku MALORI YABAINIKA KUTOKUA NA BREKI
MWAMBELA TV
0:00 / 0:00
MADEREVA WAKAMATWA ,UKAGUZI MKALI WA MAGARI WAFANYIKA SEGERA huku MALORI YABAINIKA KUTOKUA NA BREKI
24 867 просмотров · 1 год назад
MWAMBELA TV
6,09 тыс. подписчиков
24 867 просмотров · 1 год назад
Ukiukwaji wa Sheria za barabarani na ukosefu wa elimu ya matumizi sahihi ya barabara zimetajwa kama chanzo Cha ajali nyingi barabarani.
hayo yamebainishwa na Kamishna Msaidizi wa polisi Joseph Mwakabonga ambaye ni mkuu wa operesheni kikosi cha usalama barabarani Tanzania Kwenye Operesheni maalumu ya kukagua magari Katika stand kuu ya segera wilayani Handeni Mkoa wa Tanga
Kwa upande wake Mkuu wa usalama barabarani Mkoa wa Tanga Mrakibu muandamizi wa jeshi la polisi Wile Mwamasika amesema operesheni hiyo ni endelevu na hatua kali zitachukuliwa kwa madereva watakaokutwa na makosa