Watu watano waangamia kwenye ajali ya barabarani Kikopey, Gilgil
KBC Channel 1
0:00 / 0:00
Watu watano waangamia kwenye ajali ya barabarani Kikopey, Gilgil
335 просмотров · 10 часов назад
KBC Channel 1
779 тыс. подписчиков
335 просмотров · 10 часов назад
Watu watano wamefariki katika ajali ya barabarani huko Kikopey, Gilgil, Kaunti ya Nakuru. Watu hao walikuwa wakisafiria gari dogo lililogongana ana kwa ana na basi la kampuni ya Easy Coach kwenye barabara kuu ya Nakuru-Naivasha.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive