Padre George Nzungu Atoa darasa zito Wiki ya Ukarimu na Shukrani Jimbo kuu la Mwanza/Wengi waguswa.
Breez Online Tv
0:00 / 0:00
Padre George Nzungu Atoa darasa zito Wiki ya Ukarimu na Shukrani Jimbo kuu la Mwanza/Wengi waguswa.
1 723 просмотра · 8 дней назад
Breez Online Tv
92,9 тыс. подписчиков
1 723 просмотра · 8 дней назад
Sehemu ya Mafundisho ya Padre George Nzungu katika Wiki ya Ukarimu na Shukrani – Siku ya Saba, akieleza kwa kina kuhusu Utume wa Kwaya ndani ya Jimbo Kuu la Mwanza.
Mafundisho yaliyogusa nafasi, wajibu na umuhimu wa kwaya katika kulitumikia Kanisa, kueneza Injili na kuijenga jamii kupitia huduma ya uimbaji.
#kanisakatoliki #breezonlinetv #BaloziwaAmani
Video Source: Jimbo Kuu la Mwanza | JKM Online tv