Makamua: Joselin ni mnywaji pombe.
EastAfricaTV
0:00 / 0:00
Makamua: Joselin ni mnywaji pombe.
4 521 просмотр · 7 л. назад
EastAfricaTV
1,25 млн подписчиков
4 521 просмотр · 7 л. назад
Baada ya Wakali kwanza kustop kwa muda mrefu kufanya kazi kwa sababu mbali mbali ikiwemu swala la Q jey na mpaka sasa Q Jey yupo sawa ila kuna tatizo jingine limeibuka uwenda likaendelea kulifanya kundi ilo kuendelea kukaa kimya.
Enewz imezikamata stori kuwa membar wa kundi ilo Joselini yupo katika matumizi mabaya ya pombe za kupindukia mpaka kufikia hatua ya kulala mitaani, Tumejitaidi kumtafuta bila mafanikio nandipo tulipoamua kumuuliza Makamua moja ya wasanii wanao unda kundi ilo juu ya Taarifa hizo.