Перейти к содержимому

VLADIMIR PUTIN: BINADAMU ASIYEELEWEKA, MPAKA LEO HAIJULIKANI ALIYEMZAA, NI JASUSI TANGU ANAZALIWA

Global TV Online

0:00 / 0:00

VLADIMIR PUTIN: BINADAMU ASIYEELEWEKA, MPAKA LEO HAIJULIKANI ALIYEMZAA, NI JASUSI TANGU ANAZALIWA

741 913 просмотров · 4 года назад
Global TV Online
5,92 млн подписчиков
741 913 просмотров · 4 года назад
VLADIMIR PUTIN: BINADAMU ASIYEELEWEKA, MPAKA LEO HAIJULIKANI ALIYEMZAA, NI JASUSI TANGU ANAZALIWA Rais Putin haeleweki. Yuko hivyo tangu kuzaliwa kwake. Haijulikani nani alimzaa. Hillary Clinton kwenye kitabu chache cha 'Hard Choices' ameandika kwamba Putin alizaliwa miaka nane baada mama yake kunusurika kuzikwa akiwa mzimu kipindi cha vita ya pili ya dunia. Ni baada ya  baba yake kukuta mwili wa mama yake umepakiwa kwenye lori lilokuwa linakusanya maiti mitaani kwenda kuwazika. Alimtambua kwa viatu alivyovaa Akaomba mwili Ile kumchukua akakuta bado anapumua, Mama alikuwa amezimia kwa sababu ya njaa.  Mzee akampa huduma ya kwanza, mama akazinduka, Oktoba 7, 1952 akazaliwa Jasusi Vladimir Vladimirovich Putin, Rais wa Urusi, Hata hivyo baadaye Putin alikuja kukanusha habari za Hillary, siye tukabaki kushangaa maana tayari kitabu kiko mtaani. Putin anasema wakati mama yake amezimia baba alikuwa vitani kwa muda mrefu, Waliomsaidia mama ni wajomba zake. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST:    • GLOBAL COMEDY/MOVIES   ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!   ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline