Перейти к содержимому

JAMAA ADAIWA KUMUUA MPENZI WAKE BAADA KUNYIMWA PESA ALIYOTAKA APEWE AKAZITUMIE ARUSHA.

GADI TV

0:00 / 0:00

JAMAA ADAIWA KUMUUA MPENZI WAKE BAADA KUNYIMWA PESA ALIYOTAKA APEWE AKAZITUMIE ARUSHA.

760 просмотров · 15 ч назад
GADI TV
98,4 тыс. подписчиков
760 просмотров · 15 ч назад
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Dina Akyoo (45) mkazi wa kata ya Usa-River wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, anadaiwa ameuawa na mpenzi wake, baada ya kukataa kutoa fedha za kuhuisha leseni ya udereva ya mpenzi huyo wilayani humo. Jirani ambaye amepangisha katika nyumba aliyokuwa anaishi Marehemu pamoja na mpenzi huyo aitwae Godwin Geofrey (36), amesema kuwa tukio hilo limetendeka, usiku wa kuamia oktoba 31, 2026, ikiwa ni baada ya mpenzi huyo kupata kazi ya udereva, huku leseni yake ikihitajika kuhuishwa. #breakingnews #livenews #netflix # GADI TV ndiyo Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: gaditvhabari@gmail.com Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV Thanks.