Перейти к содержимому

NYIMBO ZA KWARESMA TOLEO LA PILI.Mratibu Aloyce Kipangula Waimbaji Chang'ombe Catholic Singers Dar

Aloyce Goden Kipangula

0:00 / 0:00

NYIMBO ZA KWARESMA TOLEO LA PILI.Mratibu Aloyce Kipangula Waimbaji Chang'ombe Catholic Singers Dar

158 090 просмотров · 2 года назад
Aloyce Goden Kipangula
135 тыс. подписчиков
158 090 просмотров · 2 года назад
Nyimbo za Kwaresma Toleo la Pili Mratibu- Aloyce Kipangula Nyimbo hizi ni Tafakari nyingine Mpya inayokusudiwa kutusaidia kuwa Karibu zaidi na Mungu Toba, Sala na Mapendo kwa wenzetu. Tukiendelea kutafakari Hasa kipindi hiki Cha Kwaresma basi kila mmoja anakumbushwa kuhusu kumkaribia Mungu mwenye Huruma na kupatanishwa Naye kwa njia ya Kristo NILIYEKULETEA TAFAKARI HII NI MIMI ALOYCE GODEN KIPANGULA Mwinjilishaji kwa njia ya Nyimbo. TUTAKATIFUZE MALIMWENGU#nyimbozainjili#catholicsongs #kanisakatoliki#nyimbozainjili#kwaresma#nyimbozakwaresma