Перейти к содержимому

6 October 2026

Joyce Mwaijambe

0:00 / 0:00

6 October 2026

17 просмотров · 2 недели назад
Joyce Mwaijambe
3 подписчика
17 просмотров · 2 недели назад
Kuwa mkakamavu ili utoke kwa ajili ya kuikomboa nchi yetu ya tanganyika. Tokeni lakini MSITOKE KIZEMBE 29th mwezi huu. Tusiwaangushe ndugu zetu waliokufa hiyo tarehe. Beba maji, vitu vitamu kwa ajili ya kukupa nguvu, hata kama unaugojwa wa kisukari, beba pipi au sukari ya kulamba kidogo hapa na pale kukupa nguvu. Free Tundulisu Katiba mpya ina daiwa sasa.