Перейти к содержимому

Part 2: #HATIMAYE UKWELI UMETOKA! 🔥 Maalim Abdalla Afunguka Kitu Kinachoilaza Nungwi Gizani!

Sq Media Group

0:00 / 0:00

Part 2: #HATIMAYE UKWELI UMETOKA! 🔥 Maalim Abdalla Afunguka Kitu Kinachoilaza Nungwi Gizani!

407 просмотров · 3 нед. назад
Sq Media Group
182 подписчика
407 просмотров · 3 нед. назад
Je, unajua kuwa Nungwi ina utajiri mkubwa wa rasilimali na watu, lakini bado inarudi nyuma? Katika mahojiano haya na Kajuwa Kame, Maalim Abdalla anachambua kwa nini jamii ina hofu, jinsi viongozi wa kisiasa na kimila wanavyopaswa kuwajibika, na hatua za kuchukua ili kujenga Nungwi mpya. 👉 ujionee mwenyewe na kisha utuambie maoni yako kwenye comments!Kumbuka SUBSCRIBE na kubonyeza KENGELE ili usipitwe na vipindi vyetu vijavyo! 📺 SQ Media#SQMedia #NungwiZanzibar #UongoziBora #KajuAkame