Перейти к содержимому

🔴HITIMISHO LA KONGAMANO LA VIJANA NYANDA ZA JUU KUSINI - SUMBAWANGA

FPCT TUNDUMA MAJENGO

0:00 / 0:00

🔴HITIMISHO LA KONGAMANO LA VIJANA NYANDA ZA JUU KUSINI - SUMBAWANGA

118 просмотров · Трансляция закончилась 3 мес. назад
FPCT TUNDUMA MAJENGO
240 подписчиков
118 просмотров · Трансляция закончилась 3 мес. назад
Halleluya! Tunawasalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Tunambariki sana Mungu kwa wewe uliyepata Neema ya kuungana nasi katika ibada hii inayofanyika moja kwa moja kutoka hapa kanisa la FPCT Chanji linaloongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo, Mch. Steward Kalinga, Mungu amekubariki sana. Tunamshukuru Mungu pia kwa wewe ambaye umeendelea kuwaalika marafiki, ndugu, jamaa na familia katika Kristo katika ibada hii (Kongamano la vijana Kanda ya Kusini) , Mungu akubariki sana na tunakupenda sana. Kama bado huja - subscribe kwenye channel yetu hii tafadhali fanya hivo ili uwe wa kwanza kupata updates zote zinazohusiana na ibada zinazokujia moja kwa moja kutoka hapa kanisa la FPCT Tunduma, bila kusahau ku - comment, ku - like na ku - share. Tunakupenda sana. Tunakuthamini sana. Mungu akubariki sana. #tundumafpct​​​ #kambilavijana #fpctchanji