Перейти к содержимому

MVUA ZA EL NIÑO 2026: Jinsi ya Kujilinda na Mafuriko na Hatari Zake | Tahadhari Muhimu

FEABOY

0:00 / 0:00

MVUA ZA EL NIÑO 2026: Jinsi ya Kujilinda na Mafuriko na Hatari Zake | Tahadhari Muhimu

141 просмотр · 3 дн. назад
FEABOY
17 тыс. подписчиков
141 просмотр · 3 дн. назад
MVUA ZA EL NIÑO 2026: Jinsi ya Kujilinda na Mafuriko na Hatari Zake | Tahadhari Muhimu JISAJILI NA DARASA LA DIGITAL SKILLS HAPA :https://forms.gle/7xAA1yr2HcHozrmq8 Jiunge na group :https://chat.whatsapp.com/Eh1L0FDnYXq... WhatsApp: https://wa.me/255627696523 KARIBU KWENYE GROUP LETU LA HUDUMA ZA MTANDAONI NA SERIKALI Tunakusaidia kupata huduma mbalimbali kwa haraka, usahihi na urahisi bila usumbufu. ✅ Cheti cha Kuzaliwa ✅ Huduma za NIDA ✅ TIN Number na Masuala ya TRA ✅ Mafao ya NSSF ✅ Leseni za Biashara ✅ Usajili wa Biashara BRELA ✅ Maombi ya Vyuo na Mikopo (HESLB) ✅ Huduma za Ajira ✅ Uhakiki wa Nyaraka ✅ Msaada wa Mfumo wa Serikali Mtandao ✅ Na huduma nyingine nyingi za serikali Mvua za El Niño 2026 zinaweza kuleta mvua kubwa, mafuriko, upepo mkali na changamoto mbalimbali. Katika video hii tunazungumzia jinsi ya kujilinda wewe, familia yako na mali zako dhidi ya athari za mvua kubwa na mafuriko. Utajifunza: ✅ Jinsi ya kujiandaa kabla ya mvua kubwa ✅ Kwa nini usivuke maji ya mafuriko ✅ Jinsi ya kujilinda dhidi ya umeme wakati wa mvua ✅ Vitu muhimu vya kuwa navyo wakati wa dharura ✅ Namna ya kuwalinda watoto ✅ Hatua za kuchukua baada ya mafuriko ✅ Jinsi ya kufuatilia taarifa za tahadhari za hali ya hewa ⚠️ Usisubiri mafuriko yaanze ndipo uanze kujiandaa. Maandalizi yanaweza kusaidia kuokoa maisha. 📌 Subscribe Feaboy TV kwa taarifa, elimu, ajira, hali ya hewa na huduma mbalimbali za serikali. #ElNino2026 #Mvua2026 #Mafuriko mvua za El Nino 2026, El Nino 2026 Tanzania, jinsi ya kujilinda na El Nino, athari za El Nino, mvua kubwa 2026, mafuriko Tanzania, jinsi ya kujilinda na mafuriko, tahadhari za mvua kubwa, tahadhari za El Nino, usalama wakati wa mvua, madhara ya mafuriko, taarifa za hali ya hewa Tanzania, mvua za El Nino Tanzania, El Nino effects, flood safety tips el nino 2026, mvua za el nino 2026, el nino tanzania 2026, mvua kubwa 2026, mafuriko tanzania, mafuriko 2026, jinsi ya kujilinda na mafuriko, jinsi ya kujilinda na el nino, athari za el nino, madhara ya el nino, tahadhari za mvua, tahadhari za mafuriko, usalama wakati wa mvua, hali ya hewa tanzania, taarifa za hali ya hewa, mvua tanzania, el nino effects, flood safety, feaboy tv