Перейти к содержимому

Maombi la kuliombea kanisa na roho za umaskini na magojwa siku ya 2.

ChemiChemi Za Uzima

0:00 / 0:00

Maombi la kuliombea kanisa na roho za umaskini na magojwa siku ya 2.

82 просмотра · 3 года назад
ChemiChemi Za Uzima
1,81 тыс. подписчиков
82 просмотра · 3 года назад
Basi wajakazi wake Esta, na wasimamizi wake wa nyumba, wakamjia, wakampasha habari; naye malkia akahuzunika mno; akampelekea Mordekai mavazi, ili kumvika, na kumwondolea gunia lake; walakini yeye asikubali. Kisha Esta akamwita Hathaki, msimamizi-wa-nyumba mmojawapo wa mfalme, aliyemwagiza amhudumu Esta, akamtuma kwa Mordekai, ili ajue mambo hayo, na maana yake ni nini.