IBADA YA JUMAPILI - TAREHE 23/8/2026
Keys of Christ Church
0:00 / 0:00
IBADA YA JUMAPILI - TAREHE 23/8/2026
77 просмотров · Трансляция закончилась 5 дней назад
Keys of Christ Church
857 подписчиков
77 просмотров · Трансляция закончилась 5 дней назад
Karibu kufuatilia Ibada ya Moja kwa Moja
kutoka Kanisa la Keys of Christ, lililopo Kigamboni – Ungindoni, Kenan Street, chini ya uongozi wa Mtumishi wa Mungu Senior Pastor Peter Chagula & Pastor Abby Chagula.
Ibada hii inapatikana moja kwa moja kupitia:
📻 Fungua Radio Online (https://onlineradiobox.com/tz/fungua/)
📱 Facebook Live: Pst Peter Chagula
Katika ibada hii, tarajia:
✅ Kukutana na Yesu
✅ Kufunguliwa
✅ Kupokea uponyaji
Kupitia mafundisho ya Neno la Mungu na maombi ya kiroho, yote katika jina la Yesu Kristo.
Kwa Maombi, Ushauri au Kutuma Sadaka:
📞 Vodacom: 0754 752 550
Jina: Chagula Mwita
Mungu akubariki sana