Перейти к содержимому

MISA TAKATIFU YA NADHIRI ZA DAIMA MASISTA WAABUDUO DAMU TAKATIFU YA YESU MIYUJI DODOMA

Johari Media

0:00 / 0:00

MISA TAKATIFU YA NADHIRI ZA DAIMA MASISTA WAABUDUO DAMU TAKATIFU YA YESU MIYUJI DODOMA

499 просмотров · 4 года назад
Johari Media
32,6 тыс. подписчиков
499 просмотров · 4 года назад
Mtazamaji wa johari online nikusihi uendelee kuitazama johari kwa matukio mbalimbali ya kanisa. Kama ungependa tukio lako lirushwe live kupitia chanel yetu unaweza kuwasiliana nasi kupitia Email yetu ya joharimedia2@gmail.com au waweza kuwasiliana nasi kupitia no 0688705515. Johari tunaendelea kuwashukuru wadau mbalimbali wanaoiwezesha johari kuwa kama ilivyo Mwenyezi Mungu aendelee kuwabariki na kuwakirimia mahitaji yenu yote. Johari maana yake ni Kitu chenye thamani kubwa. Na jina hili limetokana na Jina la Mtakatifu Gemma. Mt. Gemma Galgani ni msimamizi wa shirika letu na msimamizi wa Jimbo kuu katoliki la Dodoma.