Pilau ya kuku ya fasta fasta - Kiswahili
Aroma Of Zanzibar & Beyond
0:00 / 0:00
Pilau ya kuku ya fasta fasta - Kiswahili
188 969 просмотров · 9 лет назад
Aroma Of Zanzibar & Beyond
253 тыс. подписчиков
188 969 просмотров · 9 лет назад
For the rice: Serves 5-7
Mchele wa basmati vikombe 2 1/2 ( kosha, roweka kiasi dakika 20 kabla kupika)
Kuku alokatwa kiasi pound 1
Vijiko 2 vidogo samli + 2 vijiko 2 vikubwa mafuta ya kupikia ( au moja wapo , utakavyopenda)
Mbata kubwa 2/3 (kama utapenda) menya kata mapande makubwa
Kitunguu maji ( chekundu,cheupe au manjano)
Bizari nyembamba , kijiko 1 kikubwa
Hiliki nzima 4/5
Pilipili mamnga nzima kiasi 10 unaweza kuzidisha au kupunguza
Karafuu nzima 4/5
Vijiti vya mdalasini 2
Vijiko 2 vidogo bizari ya unga ya pilau
Vijiko 2 vikubwa thoma na tangawizi mbichi iliyo sagwa
Maji au supu ya kuku vikombove 3 1/2 (inategemea na mchele)
Salt to taste
Majani ya giligilani kama utapenda