BAADA YA MATESO YA MIAKA 15 SASA WAMEPONA
Bugoma TV
0:00 / 0:00
BAADA YA MATESO YA MIAKA 15 SASA WAMEPONA
41 просмотр · 1 месяц назад
Bugoma TV
715 подписчиков
41 просмотр · 1 месяц назад
KATAVI: Timu ya madaktari bingwa bobezi yaacha tabasamu katika halimashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi ikiwa ni baada ya kufanya huduma ya upasuaji ulioshindikana kwa wagongwa walioteseka zaidi ya miaka 15.
Wagonjwa hao wamesema wamekuwa wakiteseka kwa zaidi ya miaka 15 ambapo sasa baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuungwa wanasema wako vizuri.
Madaktari hao walikua na kambi ya matibabu kwa takribani siku sita na sasa wamehitimisha huku wakitarajiwa kurudi mwezi wa kumi mwaka huu ili kuja tena kutoa huduma ya upasuaji wa kiungwana kwa watanzania.