Kumbe Maalim Seif alimshtukizia Dk. Mwinyi muda mfupi tu baada ya kuingia serikalini | GUMZO LA LEO
Gumzo la Ghassani
0:00 / 0:00
Kumbe Maalim Seif alimshtukizia Dk. Mwinyi muda mfupi tu baada ya kuingia serikalini | GUMZO LA LEO
31 427 просмотров · 1 г. назад
Gumzo la Ghassani
45,3 тыс. подписчиков
31 427 просмотров · 1 г. назад
ismail Jussa, ambaye ni miongoni mwa wanasiasa wa siku nyingi na mwandani wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad, anasema kabla ya kifo chake, Maalim Seif alimueleza jinsi alivyofadhaishwa na khiyana aliyokuwa akitendewa na Rais Hussein Ali Mwinyi.