Перейти к содержимому

12 September 2026

Glorious Restoration TV

0:00 / 0:00

12 September 2026

55 просмотров · 1 месяц назад
Glorious Restoration TV
8,74 тыс. подписчиков
55 просмотров · 1 месяц назад
Kuna misaada ya namna nyingi, lakini msaada utokao kwa BWANA unazidi misaada yote. Daudi anasema wa kwake unatoka kwa BWANA, wewe msaada wako watoka kwa nani? Utajua chanzo cha msaada kwa kuangalia kifungashio cha huo msaada! Fuatilia somo hili la mtumishi wa Mungu Samson Ally kwa umakini upate kujifunza na kujengwa...!!!