Перейти к содержимому

KAMA SI WEWE // MSANII MUSIC GROUP / SMS [skiza 6986649] TO 811

Msanii Music Group

0:00 / 0:00

KAMA SI WEWE // MSANII MUSIC GROUP / SMS [skiza 6986649] TO 811

3 425 253 просмотра · 3 года назад
Msanii Music Group
1,03 млн подписчиков
3 425 253 просмотра · 3 года назад
Join this channel to get access to perks:    / @msaniirecordseastafrica   Lyrics Written by Joash Nyamongo Kama si wewe, singelikuwa hapa Kama si wewe, singelikuwa leo Kama si wewe... Kama si wewe Yaweh.... Kama si wewe singelikuwa hai.... Kama si wewe, singelikuwa hapa Kama si wewe, singelikuwa leo Kama si wewe... Kama si wewe Yaweh.... Kama si wewe singelikuwa hai.... Adui shetani amejipanga kuniangamiza mimi Na njama zake zimekuwa nyingi kwa maisha yangu Kila kuchao aweka mitego njia zangu, ili nipate mimi kuangamia Bali naponea nisivyoelewa eee... Hivi karibuni, tumelia sana ee... Tumewapoteza wapendwa wetu huu... Tuiowaenzi wandani wetu wa karibu Wametutangulia kuingia mavumbini Wajua sababu ya hayo yote ee... Kama si wewe, singelikuwa hapa Kama si wewe, singelikuwa leo Kama si wewe... Kama si wewe Yaweh.... Kama si wewe singelikuwa hai.... Kama si wewe, singelikuwa hapa Kama si wewe, singelikuwa leo Kama si wewe... Kama si wewe Yaweh.... Kama si wewe singelikuwa hai.... Interlude Umewahisikia, kwamba kumetokea ajali, Wakafa watu wote akabakia mmoja... Jioji wewe uliyebaki, u mwema kuliko walioaga Mambo yake Mungu huwezikuyaelewa Hivyo basi zote, tulo hai tunapaswa kufanya kazi yake Usiku mchana, aliyetupa uhai... Ndio maana ametupa uhai tuifanye kazi yake.. Maana duniani sisi tu wapitaji... Kama si wewe, singelikuwa hapa (Mmmm) Kama si wewe, singelikuwa leo... (Kama si wewe Yaweh) Kama si wewe... (Si wewe) Kama si wewe Yaweh.... (Si wewe Yaweh) Kama si wewe singelikuwa hai.... (Si wewe) (Kama si wewe) Kama si wewe, singelikuwa hapa (Kama si wewe) Kama si wewe, singelikuwa leo (Mimi mwana wako) Kama si wewe... (Si wewe) Kama si wewe Yaweh.... (Si wewe Bwana) Kama si wewe singelikuwa hai.... (Kama si wewe) Kama si wewe (Si wewe) singelikuwa hai.... (Miimi..) Kama si wewe (Si wewe) singelikuwa hai.... (Umenitoa mbali saanai..) Kama si wewe (Ee Bwana wangu) singelikuwa hai.... (Kama si wewe) Kama si wewe (Si wewe) singelikuwa hai.... (Kama si wewe) Kama si wewe singelikuwa hai.... (Umenipa uhai bure) Kama si wewe (Nashukuru) singelikuwa hai....