#MadeinTanzania Faida na Uwekezaji Uliyopo katika Sanaa za Mikono nchini Tanzania
Xtreme Media
0:00 / 0:00
#MadeinTanzania Faida na Uwekezaji Uliyopo katika Sanaa za Mikono nchini Tanzania
4 092 просмотра · 5 лет назад
Xtreme Media
10,6 тыс. подписчиков
4 092 просмотра · 5 лет назад
#JeWajua katika masalia ya michoro ya Kale kwenye mapango ya mawe yenye michoro inayokadiriwa kuwa na miaka zaidi ya 50,000 katika mapango ya mawe ya Kondoa mkoani Dodoma. Bado mpaka leo Tanzania ina utamaduni na sehemu kubwa ya kazi za sanaa zinazotumia mikono na ubunifu. Shughuli hizi zinaitengeneza sana kipato na kuleta faida kwa wabunifu.
Sanaa ni pana sana na kila kitu kinachohusu sanaa kinaingiza pesa ndefu, lakini umewahi kujiuliza sanaa ya uchoraji inaingizaje pesa na soko lake liko vipi? Pia ni kipaji tuu au na shule inahitajika? Fuatilia video hii kufahamu mengi kuhusiana na Sanaa ya Tanzania
Usikose kufuatilia Made in Tanzania Show katika Clouds TV
Kila Jumatano saa 2 na Nusu Usiku:
Kila Jumapili saa 1 Jioni (Marudio).
_______________________________________________________________________________
SUBSCRIBE CHANNEL HII KUPATA INFOS ZAIDI!!!