JINSI YA KUPIKA PIZZA KWENYE PAN 🍕 | Easy Homemade Pizza Recipe Bila Oven #subscribe
Monica 10m views
0:00 / 0:00
JINSI YA KUPIKA PIZZA KWENYE PAN 🍕 | Easy Homemade Pizza Recipe Bila Oven #subscribe
11 просмотров · 1 день назад
Monica 10m views
243 подписчика
11 просмотров · 1 день назад
Leo tunapika Pizza tamu sana kwenye pan bila kutumia oven! 🍕🔥
This is an easy homemade pizza recipe ambayo unaweza kuifanya nyumbani kwa kutumia vifaa rahisi.
Katika video hii utajifunza jinsi ya kupika pizza kwenye pan, kuandaa pizza dough, kuweka pizza sauce, cheese, meat, green pepper na toppings zako unazopenda.
🍕 Pizza ya nyumbani bila oven
🔥 Easy homemade pizza recipe
🧀 Cheesy & delicious pizza
🍳 Pizza cooked in a pan
Kama unapenda cooking videos, easy recipes na homemade food, usisahau LIKE, COMMENT, SHARE & SUBSCRIBE kwenye channel yangu ❤️
#PizzaRecipe #PizzaBilaOven #HomemadePizza #PizzaKwenyePan #Cooking