WIMBO MZURI WA KUABUDU: USINIPITE BWANA UNAPOZURU WENGINE | TAZAMA UBARIKIWE
TAYO MWASENGA KIGOMA
0:00 / 0:00
WIMBO MZURI WA KUABUDU: USINIPITE BWANA UNAPOZURU WENGINE | TAZAMA UBARIKIWE
384 просмотра · 8 дней назад
TAYO MWASENGA KIGOMA
83 подписчика
384 просмотра · 8 дней назад
Utukufu una Mungu! Karibu kusikiliza na kubarikiwa na wimbo huu wa kuabudu wa "Usinipite Bwana" uliorekodiwa katika ibada ya leo kanisani.
📌 ILIKUWA SIKU YA BARAKA SANA!
Kama unatamani kupokea video na ibada zetu mpya kila zinapotoka:
1️⃣ BONYEZA SUBSCRIBE hapo chini.
2️⃣ BONYEZA ALAMA YA KENGELE (🔔) ili upate taarifa kila tunapopost video mpya!
3️⃣ LIKE na SHARE video hii kwa wengine ili tueneze injili pamoja.