🔴 #LIVE: SABATO YA MUZIKI || UPENDO WA BABA - ENG. SYLVESTER N. MAYUNGA || 10.10.2026
CHUO KIKUU SDA CHURCH
0:00 / 0:00
🔴 #LIVE: SABATO YA MUZIKI || UPENDO WA BABA - ENG. SYLVESTER N. MAYUNGA || 10.10.2026
3 063 просмотра · Трансляция закончилась 1 день назад
CHUO KIKUU SDA CHURCH
4,19 тыс. подписчиков
3 063 просмотра · Трансляция закончилась 1 день назад
Karibuni nyote kushiriki nasi katika Ibada hii ya Sabato ya muziki, inayorushwa mubashara kutoka Kanisa la Waadventista wa Sabato Chuo Kikuu, Changanyikeni - Dar es Salaam. Ungana nasi katika sifa, maombi, na ushirika mtakatifu tunapopokea baraka za siku hii kuu. Bwana awe pamoja nanyi nyote!
Welcome to our live stream service as we gather for Sabbath Worship, broadcasting live from Chuo Kikuu Seventh-day Adventist Church in Changanyikeni, Dar es Salaam. Join us in praise, prayer, and holy communion as we receive the rich blessings of this holy day. May the Lord be with you all!
#SabbathWorship #SabatoyaMuziki #ChuoKikuuSDA #Changanyikeni #SDATanzania #LiveStream #IbadaYaSabato