Episode 17 Makada na Machawa Katika Vyama Siasa
Amka Podcast 🎙️
0:00 / 0:00
Episode 17 Makada na Machawa Katika Vyama Siasa
116 просмотров · 8 дн. назад
Amka Podcast 🎙️
104 подписчика
116 просмотров · 8 дн. назад
AMKA PODCAST | Episode 17
Amka Podcast ep 17 inaangazia nafasi na umuhimu wa makada katika kusukuma ajenda na sera za chama cha siasa kwa wananchi. Wageni wetu ni Nyanjiga Peter na Mohammed Salim; ambao ni vijana wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo na wana Darasa Cabral la ACT Wazalendo.