Перейти к содержимому

SINTOFAHAMU KUBWA: SAMIA SULUHU YUPO WAPI!

JasusiTV

0:00 / 0:00

SINTOFAHAMU KUBWA: SAMIA SULUHU YUPO WAPI!

9 206 просмотров · 3 ч назад
JasusiTV
107 тыс. подписчиков
9 206 просмотров · 3 ч назад
#samiasuluhuhassan #tanzania #habari Oktoba 6 mwaka huu - wiki moja kamili kutoka leo - JasusiTV iliweka makala hapa iliyeleza kuhusu sintofahamu iliyojitokeza kufuatia matukio matano ya Samia Suluhu Hassan kutoonekana hadharani licha ya taarifa kuwa alikuwepo kwenye matukio husika. Unaweza kuangalia video husika hapa    • SINTOFAHAMU: SAMIA YUPO WAPI?   Sinofahamu hiyo imezidi kuongezeka kuafuatia matukio mengine matatu ambayo Samia hakuhudhuria ikiwa ni pamoja na tukio kubwa la hitma ya arobaini ya kifo cha mumewe. Makala inachimbua kwa kina kuhusu sintofahamu hiyo 💬 Commenti ✍️ | 👍 Like | 🔁 Share | 🔔 Subscribe hapa 👉    / @jasusitv   TANGAZO: Kitabu kipya NYERERE TO SAMIA kinachofanya uchambuzi wa kina kuhusu mizizi iliyowezesha mauaji yaOktoba 29, 2025 kuanzia utawala wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia. Kitabu hiki kitakufumbua macho kwenye mengi usiyoyafahamu Tanzania. Kinapatikana kwa pre-orders hapa https://jasusistore.com Vitabu vingine: Nunua kitabu cha SAKATA LA NCHIMBI na MAISHA HATARINI, pata riwaya ya MTANDAO bure. SAKATA LA NCHIMBI ni kitabu kinachoeleza kwa kina kuhusu Dkt Emmanuel Nchimbi, safari yake hadi kuwa Makamu wa Rais, asili ya bifu lake na Samia, kulazimishwa kujiuzulu umakamu, kuvuliwa uanachama CCM kabla ya kuwekwa KIZUIZINI. Je yupo Hai au la? MAISHA HATARINI ni kitabu muhimu sana katika zama hizi za utekaji. Kwa kifupi kinaeleza kuhusu misukosuko aliyopitia mwandishi baada ya kufahamishwa kuwa maisha yake yapo hatarini. Na jinsi alivyonusurika kuuawa mara kadhaa. Pia kitabu kinaongelea matukio mengine matano kuhusu kutekwa kwa Balozi Humphrey Polepole, Mdude Nyagali, Deusdedit Soka, Azory Gwanda na kutekwa na kuuawa marehemu Mzee Ali Kibao. Kisha kitabu kinaeleza mbinu mbalimbali za tahadhari na kukunusuru, ambazo mwandishi alifunzwa wakati wa utumishi wake katika Idara ya Usalama wa Taifa na anazoendelea kuzitumia kujilinda. MTANDAO ni riwaya ya kijasusi kuhusu kundi hatari la kisiasa liitwalo Mtandao linaloongozwa na Jabari Mselete, ambapo kundi hilo linataka kumuondoa madarakani Rais Chuma, ambaye analazimika kuomba msaada kutoka kwa Jasusi, afisa wa zamani wa Shirika la Ujasusi Tanzania (SHUTA), ambaye nae anawindwa na genge la Mtandao ili aangamizwe. Ukisoma riwaya hii utadhani unaangalia filamu kali ya kijasusi PATA KOPI ZAKO HAPA jasusistore.com