KIJIWE HALAL (UWEKEZAJI HALAL) - EPISODE ONE
KIJIWE HALAL
0:00 / 0:00
KIJIWE HALAL (UWEKEZAJI HALAL) - EPISODE ONE
893 просмотра · 5 месяцев назад
KIJIWE HALAL
202 подписчика
893 просмотра · 5 месяцев назад
Karibu kwenye KIJIWEHALAL — jukwaa maalum linalowaleta pamoja vijana na watu wazima kujadili mambo mbalimbali ya halal kwa mtazamo wa kielimu, hekima na uhalisia wa maisha ya kila siku. Hapa tunazungumzia masuala yanayogusa maisha yetu moja kwa moja kuanzia dini, biashara halali, mahusiano, maadili, hadi changamoto za kijamii kwa lengo la kujenga uelewa sahihi na kukuza fikra chanya ndani ya jamii. Kijiwe hiki si cha kubishana bali ni sehemu ya kujifunza, kushirikishana mawazo na kupata mwanga kupitia elimu yenye msingi wa uadilifu na maarifa sahihi.
Ni muhimu kufahamu kuwa ushauri wote unaotolewa ndani ya KIJIWEHALAL unatokana na elimu, uzoefu na uchambuzi wa masuala mbalimbali, lakini haujalazimishwa kufuatwa bali unakusudiwa kukuongoza katika kufanya maamuzi bora. Tunakukaribisha uwe sehemu ya familia hii kwa kulike, kusubscribe na kushare channel ya KIJIWEHALAL ili uweze kufaidika na maudhui yenye kujenga na pia kuwafikishia wengine elimu hii muhimu. Pamoja tunaweza kujenga jamii yenye uelewa, maadili na mafanikio ya kweli.