Перейти к содержимому

YESU NI KUHANI MKUU PART TWO- NA PST STEPHEN MWAITEBELE

Stephen Mwaitebele

0:00 / 0:00

YESU NI KUHANI MKUU PART TWO- NA PST STEPHEN MWAITEBELE

5 просмотров · 2 нед. назад
Stephen Mwaitebele
64 подписчика
5 просмотров · 2 нед. назад
Waebrania 4:14-16 [14]Basi, iwapo tunaye kuhani mkuu aliyeingia katika mbingu, Yesu, Mwana wa Mungu, na tuyashike sana maungamo yetu. 1 [15]Kwa kuwa hamna kuhani mkuu asiyeweza kuchukuana nasi katika mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijaribiwa sawasawa na sisi katika mambo yote, bila kufanya dhambi. [16]Basi na tukikaribie kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupewe rehema, na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji.