MISA TAKATIFU DOMINIKA YA 14 MWAKA A WA KANISA KUTOKA PAROKIA YA MKATA, JIMBO KATOLIKI TANGA
St. Anthony's Cathedral Tanga
0:00 / 0:00
MISA TAKATIFU DOMINIKA YA 14 MWAKA A WA KANISA KUTOKA PAROKIA YA MKATA, JIMBO KATOLIKI TANGA
131 просмотр · Трансляция закончилась 2 месяца назад
St. Anthony's Cathedral Tanga
2,44 тыс. подписчиков
131 просмотр · Трансляция закончилась 2 месяца назад
Mpendwa mtazamaji wetu wa ST. ANTHONY'S CATHEDRAL TANGA karibu katika Ibada Misa Takatifu ya Dominika ya 14 Mwaka A wa Kanisa kutoka Parokia ya Mtakatifu Maximilian Maria Kolbe - Mkata, Jimbo Katoliki Tanga tarehe 05.07.2026 kuanzia saa mbili kamili Asubuhi (08:00)
Jiunge nasi kwa KUSUBSCRIBE Channel yetu ya St. Anthony's Cathedral Tanga ili uweze kupata Taarifa na Matukio Mbalimbali MUNGU AKUBARIKI SANA.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Karibu Mpendwa katika kitengo hiki cha habari kinachomilikiwa na Kanisa Kuu la Mt. Anthony wa Padua Chumbageni Tanga. Pia unaweza kutufuatilia katika mitandao ya kijamii
INSTAGRAM:- st.anthony'scathedraltanga
FACEBOOK:-st.anthony'scathedraltanga
TIKTOK:-st.anthony'scathedraltanga
Mawasliano:-
St. Anthony's Cathedral Tanga Media
S.L. P 84 Tanga,
0672 350 777
st.anthonymedia12@gmail.com