Перейти к содержимому

Fr Kamugisha anena Mapokezi ya Bikira Maria Mpakani Mwisa.

Radio Mbiu

0:00 / 0:00

Fr Kamugisha anena Mapokezi ya Bikira Maria Mpakani Mwisa.

3 376 просмотров · 3 года назад
Radio Mbiu
31,7 тыс. подписчиков
3 376 просмотров · 3 года назад
MAPOKEZI YA SANAMU YA BIKIRA MARIA WA FATIMA- BUKOBA. Ni mapokezi ya Sanamu ya Bikira Maria wa Fatima, Jimbo Katoliki Bukoba, ambapo sanamu ya Bikira Maria imetokea Kayanga na kukabidhiwa na Askofu AlmachiusRweyongeza, na kupokelewa na Wanautume wa Fatima wakiongozwa na Padre Potentine Kamugisha, Mlezi wa Fatima Jimbo eneo la mpaka wa Jimbo Katoliki la Kayanga na Bukoba makutano ya Mwisa. ▪︎Misa takatifu imefanyika Kanisa Kuu la Bukoba ma kuadhimishwa na Msimamizi wa Kitume Jimbo Katoliki la Bukoba Askofu Method Kiliani. www.radiombiu.co.tz #RmSautiYaFaraja