BATIMAYO MUOMBAJI KIPOFU
MULEBA SDA CHOIR
0:00 / 0:00
BATIMAYO MUOMBAJI KIPOFU
318 просмотров · 6 дн. назад
MULEBA SDA CHOIR
395 подписчиков
318 просмотров · 6 дн. назад
WIMBO MPYA: BARTIMAYO KIPOFU
Leo tunawaletea wimbo unaosimulia kisa cha Bartimayo, kipofu aliyemlilia Yesu kwa imani na akapokea uponyaji.
Ujumbe wake ni wa imani, matumaini na nguvu ya kumtumaini Mungu.
Usikose kusikiliza, kutazama na kushiriki na wengine!
“Yesu, Mwana wa Daudi, unirehemu!”