Termux course from begginer to intermidiate level in swahili commands zote mihumu covered in swahili
Mr.hassan
0:00 / 0:00
Termux course from begginer to intermidiate level in swahili commands zote mihumu covered in swahili
137 просмотров · 2 недели назад
Mr.hassan
116 подписчиков
137 просмотров · 2 недели назад
🔥 TERMUX COURSE — BEGINNER TO ADVANCED 🚀
Karibu kwenye kozi ya Termux kutoka mwanzo kabisa mpaka advanced level. Katika series hii tutajifunza Termux hatua kwa hatua, kwa vitendo na kwa lugha rahisi kuelewa. 💻📱
📚 UTACHOJIFUNZA: ✅ Termux ni nini na jinsi inavyofanya kazi
✅ Installation & basic setup
✅ Linux commands za msingi
✅ Files & directories management
✅ Package management
✅ Bash & shell basics
✅ Networking fundamentals
✅ Python kwenye Termux
✅ Git & GitHub basics
✅ Automation & scripting
✅ Security concepts na safe lab practice
✅ Advanced Termux techniques
✅ Projects za practical kutoka beginner mpaka advanced
🎯 COURSE GOAL: Kukujenga kutoka mtu ambaye hajawahi kutumia Termux mpaka uwe comfortable kutumia Termux kwa Linux learning, coding, automation na cybersecurity labs zilizo salama.
⚠️ NOTE: Mafunzo haya ni kwa elimu na practical testing kwenye systems/labs ambazo una ruhusa nazo. Usitumie knowledge hii kuingia kwenye accounts, devices au systems za watu bila authorization.
📌 Kama unaanza Termux leo, usiruke lessons — fuata series step by step.
👍 LIKE
💬 COMMENT
🔔 SUBSCRIBE & TURN ON NOTIFICATIONS
#Termux #TermuxCourse #Linux #CyberSecurity #EthicalHacking #Android #Bash #Python #Programming #CyberSecurityTutorial#mrvirushacker_tz