Перейти к содержимому

🔴#LIVE SAMAI | Masjid Muhajirina Chang’ombe – Dodoma LIVE

Taqwa Media Makambako

0:00 / 0:00

🔴#LIVE SAMAI | Masjid Muhajirina Chang’ombe – Dodoma LIVE

321 просмотр · Трансляция закончилась 11 дней назад
Taqwa Media Makambako
444 подписчика
321 просмотр · Трансляция закончилась 11 дней назад
📍 MASJID MUHAJIRINA – CHANG’OMBE, JIJINI DODOMA Bado tupo Masjid Muhajirina, Chang’ombe Jijini Dodoma. Sasa baada ya Swalat ya Isha, tunaendelea na Sama’i ya Madrasatul, ambapo zaidi ya Madrasatul 3 zinashiriki katika tukio hili la kielimu. 🕌 Miongoni mwa Madrasatul zinazoshiriki ni Madrasatul Muhajirina, pamoja na Madrasatul wageni kutoka Mafinga na Dar es Salaam. 🌙 Ni usiku wa elimu, Qur’ani, malezi na kuhamasisha vijana kushikamana na dini yao. 🎥 Taqwa Media Makambako tunawaletea matukio haya moja kwa moja kutoka Masjid Muhajirina, Chang’ombe – Dodoma. Usikose kufuatilia hadi mwisho, ku-Like, Comment na Subscribe. 🔔 #SamaI #Madrasatul #MadrasatulMuhajirina #MasjidMuhajirina #Changombe #Dodoma #Mafinga #DarEsSalaam #TaqwaMediaMakambako #ElimuYaKiislamu #Maulid