Sioshwi Dhambi Zangu- Hakuna Kabisa Dawa Ya Makosa
praisewave africa
0:00 / 0:00
Sioshwi Dhambi Zangu- Hakuna Kabisa Dawa Ya Makosa
25 697 просмотров · 5 месяцев назад
praisewave africa
3,64 тыс. подписчиков
25 697 просмотров · 5 месяцев назад
Sioshwi Dhambi Zangu- Nyimbo za Pasaka 2026
[verse 1]
Sioshwi dhambi zangu,
Bila damu yake Yesu,
Hapendezewi Mungu,
Bila damu yake Yesu.
[chorus]
Hakuna kabisa,
Dawa ya makosa,
Ya kututakasa,
Ila damu yake Yesu.
[verse 2]
La kunisafi sina,
Ila damu yake Yesu,
Wala udhuru tena,
Ila damu yake Yesu.
[chorus]
Hakuna kabisa,
Dawa ya makosa,
Ya kututakasa,
Ila damu yake Yesu.
[verse 3]
Sipati patanishwa,
Bila damu yake Yesu,
Hukumu yanitisha,
Bila damu yake Yesu.
[chorus]
Hakuna kabisa,
Dawa ya makosa,
Ya kututakasa,
Ila damu yake Yesu.
[verse 4]
Sipati tumaini,
Bila damu yake Yesu,
Wema wala amani,
Bila damu yake Yesu.
[chorus]
Hakuna kabisa,
Dawa ya makosa,
Ya kututakasa,
Ila damu yake Yesu.
[verse 5]
Yashinda ulimwengu,
Hiyo damu yake Yesu,
Na kutufikisha juu,
Hiyo damu yake Yesu.
[chorus]
Hakuna kabisa,
Dawa ya makosa,
Ya kututakasa,
Ila damu yake Yesu.
[verse 6]
Twaimba utukufu,
Una damu yake Yesu,
Milele twaisifu,
Hiyo damu yake Yesu.
[chorus]
Hakuna kabisa,
Dawa ya makosa,
Ya kututakasa,
Ila damu yake Yesu.
#SioshwiDhambiZangu #TenziZaRohoni #SwahiliHymns #NothingButTheBlood #WorshipMusic #Gospel2026 #AfricanGospel #KenyaWorship