Перейти к содержимому

Nyimbo za Watoto za Kisabato - MAFUNGU YA TUNDA LA ROHO

BARIADI SDA CHURCH

0:00 / 0:00

Nyimbo za Watoto za Kisabato - MAFUNGU YA TUNDA LA ROHO

42 394 просмотра · 6 лет назад
BARIADI SDA CHURCH
2,14 тыс. подписчиков
42 394 просмотра · 6 лет назад
Tazama watoto wa makanisa ya mtaa wa Ntuzu wanaotoka katika makanisa 7 yaliyoweza kuuzuria kambi kubwa la mtaa wa NTUZU lililofanyika kuanzia tarehe 8/8/2020 na kuhitimishwa tarehe 15/8/2020. Watoto hawa ni kutoka Kanisa la Bariadi. Kanisa la Basso Kanisa la Ntuzu kanisa la Bomani Kanisa La Gitoya Kanisa La Ngashanda Na Kanisa la Sanungu ambalo lilishiriki kama kundi la Bomani ila Katika makambi haya likatengwa Rasmi kuwa Kanisa. Tazama ili ubarikiwe na Bwana. Pia kumbuka kutuma video hii kwa wazazi wote wenye watoto ili kuonyesha upendo. Usisahau ku-SUBSCRIBE ili uwe unapata taarifa mara tuwekapo video mpya. UBARIKIWE NA BWANA. Like kisha toa Maoni hapa chini.