Jinsi ya Kupika Chapati za Maji za Maziwa Laini sana (Toleo Jipya + Sauti) 🥞🔥
Tammy’s Kitchen Tz
0:00 / 0:00
Jinsi ya Kupika Chapati za Maji za Maziwa Laini sana (Toleo Jipya + Sauti) 🥞🔥
353 просмотра · 6 дн. назад
Tammy’s Kitchen Tz
115 подписчиков
353 просмотра · 6 дн. назад
Karibu tena kwenye chaneli yangu! Kutokana na maoni yenu kwenye video iliyopita, nimerudi tena kuwaletea video hii ya Chapati za Maji za Maziwa ikiwa imeboreshwa zaidi na sasa ina sauti (voiceover) ili uweze kufuata hatua zote kwa urahisi kabisa.
Chapati hizi ni laini sana, hazichukui muda mrefu, na ni nzuri sana kwa kifungua kinywa (breakfast) cha familia yako.