Перейти к содержимому

| 'Je mwenyezi mungu alikuwa wapi kabla hajaumba vitu' | Sheikh Ayub Rashid |

Bilal Education

0:00 / 0:00

| 'Je mwenyezi mungu alikuwa wapi kabla hajaumba vitu' | Sheikh Ayub Rashid |

142 просмотра · Трансляция закончилась 1 г. назад
Bilal Education
1,33 тыс. подписчиков
142 просмотра · Трансляция закончилась 1 г. назад
Darsa La leo maudhui ni "je mwenyezi mungu alikuwa wapi kabla hajaumba vitu." Darsa hili litazungumzia maswala muhimu sana ya kiakida na imani kwa Mwenyezi Mungu. Ni darsa muhimu sana katika kuongeza imani. Kuna visa muhimu sana vya mazingatio. Usikose kujiunga nasi! Bilal Education. 25/12//2024 ———————————————————— Wakati wa Darsa La leo: Afrika ya Mashariki Saa mbili usiku Afrika ya kati Saa moja usiku Uingereza Saa kumi na moja jioni.